alhidaaya.com
Kitabu Cha Wageni


Andika Maoni


Messages : 71 to 80
Page : 8
Number of messages : 1087
1 ... 3-4-5-6-7-8-9-10-11-12 ... 109
á
on 11/06/2013 at 18:02

Allah ame ahidi kumlipa kwa kila mwenye kutenda jema kwa ajili ya ALLAH hivyo musichoke kujibu maswli yetu kwani hata kama maswali mengine ni ya kawaida kabisa
 
on 06/06/2013 at 08:17

Nawashukuru sana kwa mafunzo yenu yametufungua macho na akili.Hakika ni darasa tosha.Mbarikiwe sana
   
on 26/05/2013 at 11:07

page hii inamafundisho mazuri saana, muendelee hivyohivyo kutuelimisha.
 
on 22/05/2013 at 23:26

Assalam alaykum warahmatullah Wabarakatuh. Ni mara yangu ya kwanza kuwaandikia kuwapongeza kwa kazi yenu nzuri Mashaallah. Ni ajabu njia hii yaweza kuwa mwalimu mkubwa sana yatakiwa kuimarishwa vema. Nimefurashwa na kila mada niliyosoma humu Wallah hasa Visa vya Maswahaba Radhwiyallah anhu. Nawaombea kwa Allah kila mnalohitajia mpate na kila uadui usiwafike. Na kwa Allah ndio wote twategemea . Amiyn
 
on 17/05/2013 at 04:34

ninafuraha sana kwa kitengo hiki cha uislamu,kwa faida ambayo twaipata kwa kila atafutae ukweli,shukran ALLAH tawapa nguvu yakuendelea na malipo yenu kwake ALLAH mtukufu
 
on 14/05/2013 at 12:39

Asalam alykum nashkuru sana mwanzilishi wa hii blogu kwani inatupa mawazo mapya na kutufanya tuwe na imani zaidi
     
on 07/05/2013 at 17:20

Asalam alykum tunawashukuru waanzilishi wajambo hili zuri katika dini mungu awalipe kheri inshallah ninachoomba mie ninawaidha mbalimbali ya sheikh Ali bahero na sheikh Yusuf abdi mtuingizie mungu akiwapa wasaa
  á
1 ... 3-4-5-6-7-8-9-10-11-12 ... 109
Messages : 71 to 80
Page : 8
Number of messages : 1087