alhidaaya.com
Kitabu Cha Wageni


Andika Maoni


Messages : 1 to 10
Page : 1
Number of messages : 347
<< previous
1-2-3-4-5-6-7-8-9-10 ... 35
   
on 05/11/2008 at 22:59

Asaalam aleykum,

hope all is well with u, thanx a million for the arabic classes and for the website in general, keep up the good work and May Allah bless u all always amin
         
on 28/10/2008 at 13:51

Assalaamu alaykum warahmatullahi taala wabarakatu.
Kwanza namshkuru M/Mungu kwa killa jambo na lililokubwa ni kuniwezesha kufika hadi wakti huu. Baada ya hilo ni kutowa shukran zangu za dhati khususan kwa waanzilishi na khasa waliotowa fikra za kuwa na "web-site" kama hii, naamini "Jaza" yao ipo kwa mwenyewe "Sub-hana-wataala", sisi binafsi katu hatuna cha kuwalipa, zaidi ya kuendelea kunufaika na yote mema yaliyomo katika "web-site" hii, kwani hata katika "Qur'an" tukufu, tumeambiwa.... tukumbushane.., hivyo hapa pia ni mojawapo ya pahali muafaka pa kuelimishana, kufahamishana na kukumbushana kila lililo jema na pia ndipo hapa pa kukatazana, kuonyana ili kuweza kuyakimbia yale yote yaliyo mabaya, na chukizo kwake yeye M/Mungu katika yote aliyotukataza, ili kesho tuwe ni miongoni mwa waja wake M/Mungu katika kivuli chake. Wabillahi-Ttaw-fyiq! Maassalaam.
         
<< previous
1-2-3-4-5-6-7-8-9-10 ... 35
Messages : 1 to 10
Page : 1
Number of messages : 347