Kauli Za Salaf: ‘Ilmu-Da’wah
Jifunze Asw-Swidq Ukweli Kabla Ya Kujifunza ‘Ilmu
Imaam Al-Awzaa’iy (Rahimahu-Allaah)
Amesema Imaam Al-Awzaa’iy (Rahimahu-Allaah):
Jifunze Asw-Swidq (Kusema na kuwa mkweli) kabla ya kujifunza elimu.
[Sharh Hilyat Twaalib Al-‘Ilm (138)]