Kauli Za Salaf: Manhaj
Rasimali Ya Muislamu Ni Dini Yake
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
"Rasilimali ya Muumini ni Dini yake na haiwachi anapokuwa safarini wala haiweki amana kwa watu."
[Al-Istidhkaar li-Ibn ‘Abdil-Barr (2/28)]