Nini Hukmu Ya Swawm na Mwenye Kunyonyesha?
SWALI:
Assalam aleikum,
Samahani kiswahili changu si kizuri so i will ask in english :
Alhamdullilah i had a baby girl two months ago and am breast feeding at the moment,i try to fast one day at a time as am breast feeding, am i exempted from fasting at this time because am breastfeeding and if so,do i have to pay later insh Allah
Jazzaka Allau Kheirah
JIBU:
Sifa zote njema anastahiki Allah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho
Sheria inakuruhusu kula ikiwa unakhofu kuwa Swawm itakufanya ukose maziwa ya kumnyonyesha mtoto. Kisha unatakiwa ulipe deni lako baada ya Ramadhaan. Na ikiwa utashindwa kulipa hadi Ramadhaan nyingine basi itakubidi ulipe kafara.
Kwa maelezo zaidi tafadhali ingia katika kiungo kifuatacho upate maelezo zaidi kuhusu maudhui hiyo:
Na Allah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


