Keki Ya Machungwa
Vipimo
Siagi iliyolainika - ½ Kikombe cha chai
Sukari - 1 Kikombe cha chai
Mayai - 2
Maganda ya chungwa iliyokwaruzwa - 1 Kijiko cha supu
Ariki ya lozi (almond essence) - ¼ Kijiko cha chai
Unga - 2 Vikombe vya chai
Baking powder - 2 Vijiko cha chai
Chumvi - ½ Kijiko cha chai
Iliki ya unga - ½ Kijiko cha chai
Maziwa - ½ Kikombe cha chai
Juisi ya machungwa - ¼ Kikombe cha chai
Lozi ziliyokaangwa na kupondwa - ¾ Kikombe cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/106
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1049&title=%20Keki%20Ya%20Machungwa