Nyama Ng'ombe Ya Kuchoma Na Viazi
Vipimo
Nyama ya ng'ombe ya mafupa bila ya
kukatwa (pande kubwa) - 5- 6 LB (au kiasi unachotaka)
Viazi vilivyomenywa na kukatwa duara - 4 vikubwa
Kitunguu saumu/thomu na tangawizi iliyosagwa - 2 Vijiko vya supu
Pilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu
Mtindi (Yoghurt) - 1 Kijiko cha supu
Pilipili manga ya unga - 2 vijiko vya chai
Bizari ya pilau ya unga
(Jiyra/cummin powder) - 2 vijiko vya chai
Siki - 4 vijiko vya supu
Chumvi - kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo: Nzuri kuliwa na mikate 'Pita pan bread, (au mikate ya kiarabu) saladi na hummus (sosi ya ufuta na dengu zilizosagwa). (Au sosi ya shawarma)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1062&title=Nyama%20Ng%27ombe%20Ya%20Kuchoma%20Na%20Viazi