Kamba (Prawns) Katika Sosi Ya Nyanya NaNazi
Vipimo
Kamba- kilo 1
Chumvi - Kiasi
Mafuta- ¼ Kikombe
Bizari ya pilau (cummin) nzima - ½ Kijiko cha chai
Bizari ya mchuzi - 1 kijiko cha chai
Vitungu- 2 katakata slesi ndogo ndogo
Nyanya zilioiiva - 3 katakata
Pilipili mbuzi - kiasi 2
Tui la nazi - vikombe 2
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kuburudika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/108
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1068&title=Kamba%20%28Prawns%29%20Katika%20Sosi%20Ya%20Nyanya%20Na%20Nazi