Kutembea Baada Ya Kula Kuimarisha Siha
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Alhidaaya.com [2]
Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Baadhi ya wafalme wamewauliza madaktari wao: Najua hutobakia kwangu, hivyo nipe wasifu wa jambo nilifuate na nichukue kutoka kwako. Twabib akajibu: “Utakapokula usiku usilale hadi utembee walau hatua khamsini.”
[Atw-Twibb An-Nabawiy (Uk. 311)]
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/240
[2] http://www.Alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10960&title=Imaam%20Ibn%20Al-Qayyim%3A%20Kutembea%20Baada%20Ya%20Kula%20Kuimarisha%20Siha