Khalyat An-Nahl (Mzinga Wa Nyuki)-1
Vipimo
Unga - Vikombe 3 ½ visivyojaa
Maziwa ya maji - Vikombe 1
Maji - Kikombe ½
Yai - 1
Sukari - Vijiko 2 ½ vya supu
Mafuta - Kikombe ½
Hamira - Kijiko ½ cha chai
Chumvi - robo kijiko cha chai
Cheese ya Cream - Kiasi utakavyotumia kujaza
Shira
Sukari - Vikombe 2
Maji - Kikombe 1 ½
Zaafarani - nusu kijiko cha chai (iroweke)
Ipikie shira lakini isiwe nzito.
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Vidokezo:
Kama ni shira iliyopowa basi mwagia juu ya mkate uliomoto
Kama ni shira imoto basi subiri mkate upowe. Yaani mojawapo iwe moto au baridi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1117&title=Khalyat-An-Nahl%20%28Mzinga%20Wa%20Nyuki%29-1