Kulfi
Vipimo:
Maziwa ya mvuke (evaporated milk) - 3 kopo
Maziwa ya mazito (condensed milk) - 1 kopo
Malai ya Maziwa (cream milk/Qishtwah) - 1 kopo
Malai yenye siagi yaliyopigwapigwa
yakawa mazito (cool whip) - 1 kopo
Zafaraani - 1/2 kijiko cha chai
Hiliki - 1/4 kijiko cha chai
Lozi za vipande - 1/2 kikombe
Lozi ya unga - 1/4 kikombe
Njugu (Pistachio) zilizokatwa katwa - 1/2 kikombe
Namna ya Kutayarisha:
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/43
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1884&title=Kulfi