Keki Za Icing Mbali Mbali Za Vikombe
Vipimo:
Unga wa keki wa tayari - 1 boksi (510 g)
Maji - 1 ¼ kikombe cha chai
Mafuta - 1/3 kikombe cha chai
Mayai - 3
Malai (whipped cream) - 2 vikombe viwili
Marembo yake ya rangi na kiasi
chengachenga za pipi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/106
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2321&title=Keki%20Za%20Icing%20Mbali%20Mbali%20Za%20Vikombe%20%20