Mchuzi Wa Kuku Wa Nazi Na Mayai Ya Kuchemsha
Vipimo
Kuku - 2 Lb (ratili)
Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 kijiko cha supu
Pilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supu
Bizari ya pilau ya unga- ½ kijiko cha chai
Ndimu - 1 kamua maji
Chumvi - kiasi
Bizari manjano - ½ kijiko cha chai
Vitunguu maji - 1
Nyanya - 2
Tuwi la nazi zito - 1 ½ kikombe
Mayai ya kuchemsha - 6
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/108
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3037&title=Mchuzi%20Wa%20Kuku%20Wa%20Nazi%20Na%20Mayai%20Ya%20Kuchemsha%20