SWALI:
As alykum namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa muongozo wa kufungua tofuto yenu. Swali langu: Hakuna mawasiliano na mume wangu huu mwaka wa tatu sasa kuna huduma yoyote kwangu na yuko hapahapa dar es salaam. Je ni bado mume wangu
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mume kukutenga kwa miaka mitatu.
Hakika tumekuwa tukikariri mara nyingi jinsi gani wanawake wanavyodhulumiwa na waume zao kwa njia moja na nyingine na hasa wakiwa katika ndoa.
Na dhulma hii inatokea kwa kuwa wanawake wenyewe pamoja na wazazi wenyewe wameshindwa kufuata mwongozo wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika uchaguzi wa mume. Kwa minajili hii tunakuta kuwa matatizo yanatokea pindi tu mume na mke wanapooana. Hata hivyo,
Kwa hiyo, la kufanya ni
Itabidi uchukue hatua ya haraka ili kupatikane ufumbuzi wa tatizo lako
Na Allaah Anajua zaidi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/57
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4168&title=Mume%20Amenitenga%20Miaka%20Mitatu%20Bila%20Ya%20Kunihudumia%20Je%2C%20Nimeachika%3F