Viazi Vya Kukaanga Na Sosi Ya Nyanya
Vipimo
Viazi - 5 vya kiasi
Bizari ya manjano - ½ kijiko cha chai
Meti ya unga - ½ kijiko cha chai
Mafuta - 2 kijiko cha supu
Limro (majani ya kihindi) - 6 majani
Nyanya - 1
Pilipili mbichi - 3
Ndimu - 1
Chumvi - kiasi
kidonge cha supu - ½
Nyanya kopo au paprika - ½ kijiko chai
Maji - ½ kikombe
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/85
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4287&title=Viazi%20Vya%20Kukaanga%20Na%20Sosi%20Ya%20Nyanya