Sandwichi Ya Mchicha Na Jibini
Vipimo
Mkate - 1 mrefu
*Sosi ya pizza au makaroni
Chumvi - kiasi
Pilipili manga - kiasi
Jibini (cheese) - ½ kilo iliyochunwa
Kitunguu - ½ kikate slice
Nyanya - 1 ikate slice
Zaituni (olives) - 5 zikate slice
Mchicha mchanga - ½ kikombe cha chai
Uyoga - ½ kikombe zilizokatwa slice
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo:
*Tazama kwenye macaroni ya nyama ya kusaga na bashameli namna ya kutengeneza au nunua ya kopo iliyo tayari. Ikibidi unaweza kutumia nyanya ya kopo badala ya sosi ya macaroni
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/183
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4379&title=Sandwichi%20Ya%20Mchicha%20Na%20Jibini