SWALI:
Asalam alaykum warhamatulahi taala wabarakatu. Napenda kuuliza kuna maduka mengine huku ulaya wanakopesha vitu na wanakupangia mda wa kulipa na wanakupangia kiasi cha kulipa. Lakini wanaweka pesa kida ziada na ukiwauliza
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu maduka Bara Ulaya yanayo kopesha vitu na kulipa ziada.
Ikiwa tumelifahamu vyema swali lako
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/103
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F5016&title=Maduka%20Kutoa%20Mkopo%20Na%20Kupanga%20Muda%20Wa%20Kulipa%20Kwa%20Kiwango%20Fulani%20Ziada%20Je%20Ni%20Ribaa%3F