Chow Mein Za Kuku Pilipili Boga Mahindi (Guyana)
Vipimo na namna ya kutayarisha
Tambi nene Chambua katakata - 500 gms
Kuku bila mifupa (kidari) Katakata vipande vipande - 1 Lb/ ½ Kilo
Mahindi Chambua - 1 kikombe
Pilipili boga jekundu (capsicum)Katakata - 1
Pilipili boga la orengi Katakata – 1
Tangawizi mbichi kuna (grate) - 1 kijiko cha supu
Kitunguu saumu (thomu) kuna (grate) - 1 kijiko cha supu
Pilipil manga ya unga - 1 kijiko cha chai
Mdalasini wa unga - ½ kijiko cha chai
Bizari manjano/haldi/tumeric - 1 kijiko cha chai
Sosi ya soya (soy sauce) - 2 vijiko vya supu
Chumvi - Kisia
Mafuta - ¼ kikombe
Namna Ya Kupika:
Picha za aina ya tambi zinapatikana katika viungo vifuatavyo:
Chow Mein (Tambi Nene Za Kukaanga) Za Nyama Kusaga Na Mboga Mchanganyiko [2]
Chow Mein (Tambi Nene Za Kukaanga) Za Kamba Na Mboga Mchanganyiko [3]
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/84
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/5217
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/4999
[4] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F6176&title=Chow%20Mein%20Za%20Kuku%20Pilipili%20Boga%20Mahindi%20%28Guyana%29