Desert Ya Tambi Kwa Fruit Mchanganyiko Na Cream
Vipimo
Tambi - 200 gms takriban vikombe 2
Cream au maziwa mazito (condensed) - 1 gilasi
Maziwa ya kawaida - 2 gilasi takriban
Sukari - ½ gilasi
Fruti mchanganyiko ya kibati - 1 kibati kikubwa
Habbat hamraa au habbat rayhaan - 2 vijiko vya kulia
(basil seeds)
Arki au vanilla - 1 kijiko cha chai
Hiliki - ½ kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/43
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7298&title=Desert%20Ya%20Tambi%20Kwa%20Fruit%20Mchanganyiko%20Na%20Cream