Haleem Ya Nyama Ng’ombe Bokoboko La Ki Pakistani
Vipimo
Nyama ng’ombe bila mifupa - 1 kilo
Mifupa ya nyama ng’ombe - ½
Tangawizi mbichi ilosagwa au kukunwa -
Thomu (saumu/garlic) ilosagwa - 1 kijiko cha kulia
Pilipili mbichi ilosagwa - 3
Shayiri - ¼ kikombe
Ngano - ¼ kikombe
Dengu za manjano za kupasuliwa - ¼ kikombe
Chooko za kupasuliwa -
Hadesi nyekundu
Hadesi za kijani
Mchele
Bizari ya paprika (nyekundu) - 1 kijiko cha chai
Gilgilani (dania/coriander) - 1 kijiko cha chai
Haldi (bizari manjano/kurkum) - ½ kijiko cha chai
Jira (bizari pilau/cumin) - 1 kijiko cha chai
Hiliki ya kijani ilosagwa -
Karafuu ya unga -
Jani la bay (bay leaf) - 1
Majani ya mchuzi - 3-5
Chumvi
Samli - ½ kikombe
Vitunguu kaanga slaisi, chuja mafuta, vivuruge - 3
Kotmiri majani katakakata - Kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo:
Unaweza kununua boxi la tayari la haleem kupata aina za nafaka, hadesi, na bizari yake.
Tolea kwa mikate ya naan ukipenda.
Bizari ya haleem pia unaweza kutengeneza mwenyewe kama vile garama masala na bizari nzima ya pilau (uzile), bizari ya gilgilani (mbegu za kotimiri), paprika.
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/44
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7497&title=Haleem%20Ya%20Nyama%20Ng%E2%80%99ombe%20Bokoboko%20La%20Ki%20Pakistani%20