Katelesi Za Mviringo Za Nyama (Potato Chops)
Vipimo
Viazi - 3 LB
Nyama - 1 LB
Unga wa mkate (Breadcrumbs) - 1 kikombe cha chai
Mayai - 2-3
Mafuta ya kukaangia - Kiasi
Vipimo vya Nyama
Tangawazi mbichi na thomu iliyosagwa - 1 kijiko cha supu
Chumvi - Kiasi
Jeera (Bizari ya pilau ya unga) - 1 kijiko cha chai
Dania (Gilgilani ya unga) - 1 kijiko cha chai
Pilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chai
Mdalasini wa unga - ¼ kijiko cha chai
Pilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha chai
Ndimu au limau - 2 vijiko vya supu
Kotmiri/dania iliyokatwakatwa (chopped) - ½ kikombe cha chai
Kitunguu kilichokatwa katwa (chopped) - 1 Kikubwa
Namna ya kutayarisha na kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/46
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F987&title=Katelesi%20Za%20Mviringo%20Za%20Nyama%20%28Potato%20Chops%29