Bajia Za Kunde
Vipimo
Kunde za kupaaza - 1 ½ Vikombe
Vitungu vya kijani iliyokatwa katwa - ½ Kikombe
Baking soda - ¼ Kijiko cha chai
*Bizari mchanganyiko - 1 Kijiko cha chai
Maziwa - 2 Vijiko vya supu
Chumvi - 1 ¼ Vijiko vya chai
Unga wa ngano - 2 Vijiko vya supu
Mafuta ya kukaangia
* Unaweza kutumia bizari ya pilau (cummin) ukipenda
Namna ya kutayarisha na kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/46
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F997&title=Bajia%20Za%20Kunde