Mali ililyofika Hawl (Mwaka mzima wa Kiislam) ndio ipasayo kuhesabiwa.
Dhahabu iliyo chini ya gramu 82 haina haja kutolewa Zakaah
Lazima ujaze sehemu zote hizo za wazi kwenye vichumba japo kama huna mali uweke namba; yaani uweke sifuri (0) ili iweze kikokotoo (calculator) kujumuisha jumla ya mali yako.