Biringani Kwa Sosi Ya Nyanya Na Ukwaju
Vipimo
Bilingani - 2 Makubwa
Vitunguu maji - 2 vya kiasi
Nyanya - 2 za kiasi
Kitunguu saumu (thomu/saumu) uliyosagwa - 1 ½ Kijiko cha chai
Pilipili mbichi iliyosagwa (au kukatwa ndogondogo) - 1 kijiko cha chai
Chumvi - kiasi
Mafuta - 2 vijiko vya supu
Ukwaju - 1 Kikombe cha chai
Vitunguu vya kijani (spring onions) - mche mmoja
Mafuta ya kukaangia mabilingani
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/85
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1050&title=Bilingani%20Kwa%20Sosi%20Ya%20Nyanya%20Na%20Ukwaju