Kuku Wa Karai (Pakistani)
Vipimo
Kuku aliyekatwa vipande vipande
Mafuta - Nusu kikombe cha chai
Nyanya zilizokatwa ndogo ndogo au zilosagwa - 5 - 7 kubwa
Kitunguu saumu (thomu/galic) na Tangawizi - 2 vijiko vya supu
Pilipili mbichi (zipasue katikati) - 3 au 5
Bizari ya pilau ya unga (Jeera) - 2 vijiko vya chai
Gilgilani ya unga (Dania) - 1 kijiko cha chai
Paprika - 1 Kijiko cha supu
Bizari ya manjano ya unga - 2 vijiko vya chai
Chumvi - kiasi
Kotmiri iliyokatwa ndogondogo - 1 kikombe kimoja
Kasuri methi (majani makavu ya uwatu) 1 kijiko cha supu
Ndimu - 2 vijiko vya supu.
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/108
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1051&title=Kuku%20Wa%20Karai%20%28Pakistani%29