SWALI:
Asalam alkm.
na suali ambalo ningependelea unielezee. Ni kweli
Jazaka Allah kheir
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Hakuna makatazo katika sheria yetu kwamba akiweko mtu katika familia kwenye Eda, na
Hali hiyo hadi inakuwa ni vikwazo kwa wengine wenye mambo
Haya ni mambo ya ada yanayopaswa yaachwe na Waislam, na viongozi wa Dini ni wajibu wao kuielimisha jamii yao badala ya kuiendekeza na hali hiyo au kuwaonea muhaali kwa kuchelea kuonekana wabaya au kwa kuogopa kupoteza kukubalika kama baadhi ya viongozi wanavyodhani. Kumweka Allaah mbele ya kila jambo na kumtakasia yeye mambo ndio hekima, na hekima si kuridhisha watu kwa mambo yasiyo ya kisheria. Wengi wameshindwa kuelewa maana halisi ya hekima, au kwa makusudi wanaipindisha maana yake kwa ajili ya matakwa ya kibinafsi.
Jamii kubwa inabaki katika makosa na ujinga kutokana na Masheikh, Maustaadh na Maimaam kuwa kimya au kuwastahi watu kuwaambia ukweli pindi wanapoona munkaraat kwa kuchelea kupingwa au kukosa uluwa wa kidunia.
Inapaswa kufahamika kwamba kila hukmu inayopaswa kufuatwa iwe ina dalili kutoka katika Qur-aan au Sunnah, na
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/110
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1548&title=Harusi%20Inaweza%20Kufanyika%20Ikiwa%20Kuna%20Mtu%20Amefiwa%20Au%20Katika%20Eda%3F%20