Saladi ya Croutons
Vipimo
Saladi ya Kijani (Green Lettuce) - 1/4 msongo (bunch)
Saladi Nyekundu (Red lettuce) - 1/4 msongo
Tango - 1
Figili ya kiazi (radish) - 7
Pilipili Boga - 1
Vitunguu maji vyeupe vya saladi - 1 kikubwa
Zaituni za kijani - 1/4 kikombe cha chai
Zaituni nyeusi - 1/4 kikombe cha chai
*Croutons - 2 vikombe vya chai
(Mikate Ya Ki Italy iliyokatwa vipande vidogo vidogo vya mraba)
* Dressing Ya Ki Italy - 1/2 kikombe
* Unaweza kutumia za tayari au tengeneza mwenyewe kwa kufanya ifautavyo:
Croutons:
Vipimo:
Slaisi za mkate - 3
Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 1
Mafuta - Ya kukaangaia
Namna ya Kutayarisha:
Vipimo:
Mafuta ya Zaytuni - 1/4 kikombe
Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 3 chembe
Pilipili nyekundu ya unga - 1/4 kijiko cha chai
Chumvi - kiasi
Haradali ya powder au iliyo tayari
(Mustard powder au sosi ya mustard) - 1 kijiko cha chai
Herbs za Kiitali (kama Nanaa kavu) - 1 kijiko cha chai
Ndimu - 2 Vijiko vya supu
Changanya vitu vyote pamoja ikiwa tayari.
Namna ya Kutayarisha Saladi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/74
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1726&title=Saladi%20ya%20Croutons%20