SWALI:
ASALAM ALEIKUM
NIMESOMA SWALA LA KUJIREPUA LILIVYOULIZWA
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani ndugu yetu kwa swali lako
Lakini kosa lenyewe lishafanyika kwa njia moja au nyingine na ni kwa aliyefanya
Ama kuhusu swali lako la pili linalohusu kutoka katika nchi moja na kuingia nyingine ni juu yako. Sisi tunaweza kukupatia muongozo tu. Ushauri wetu wa dhati ni kwako kurudi kwenu ulikotoka ikiwa ni
Ama kuhusu suala lako la tatu kwa kuwa tayari umetaka msamaha kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) chakula chako na ‘Ibaadah zako zitakuwa sawa kabisa. Ama ukasoma masomo ambayo hayajakatazwa katika Dini na kwayo ukapata kazi ya halali katika nchi nyengine pato lako litakuwa halali kabisa. Hivyo, kila pesa utakayopata katika kazi hiyo ni halali kwako kutumia na kusaidia wengine.
Hakika ni kuwa kufaulu kwa mtu aliyejiripua kunaweza kupatikana ikiwa mtu mwenyewe atakuwa na ikhlasi na atafanya juhudi kutekeleza yale masharti ya toba. Tunakutakia wewe na wengine mfano wako kila la kheri katika suala
Soma pia Swali na Jibu lifautalo:
Nasaha Kwa Wakimbizi Wanaoishi Kusema Hawajaoana Ili Wapate Ruzuku Ya Serikali [2]
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/62
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/792
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2009&title=Kutubu%20baada%20ya%20kujiripua%20%20Je%20Rizki%20Nnayopata%20ni%20halali%3F