Samaki Nguru Kwa Rojo La Koliflawa
Vipimo
Samaki nguru (king fish) - 6 Vipande au wazima
Kitunguu saumu (thomu/galic) na tangawizi - 1 kijiko cha supu
Chumvi - kiasi
Pilipili nyekundu ya unga - 2 vijiko vya chai
Bizari ya samaki (au yoyote upendayo) - 1 kijiko cha chai
Ndimu - 3 vijiko vya supu
Koliflawa - ½
Vitunguu - 3
Nyanya - 4
Nyanya kopo - 2 vijiko vya supu
Pilipili mbichi - 3
Chumvi - kiasi
Bizari ya mchuzi
Mafuta ya Kupikia - Kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo:
Samaki ukipenda mchome (bake/grill) katike oveni. Ikiwa utamchoma (bake) unaweza kumchoma pamoja na koliflawa.
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/108
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2551&title=Samaki%20Nguru%20Kwa%20Rojo%20La%20Koliflawa%20