SW
Assalam Alaikum;
Wassalam.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu nyongeza unayopata kwa mdeni wako.
Riba kwa kawaida inajulikana na kila mmoja na haina utata wowote. Riba ina maana ya ziada anayopewa mdeni anapolipwa deni
Uislamu umeharamisha unyama na ubepari huu ambao nia yake ni kuzidi kumdhoofisha masikini na kumfanya tajiri awe tajiri. Sheria na kanuni za Uislamu zina ubinadamu na utu na zinajali
Tukirudi katika swali lako ni kuwa umemkopesha nduguyo na hakukuwa na mapatano yoyote ya haramu
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/103
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2938&title=Nikipokea%20Zaidi%20Ya%20Nilivyokopesha%20Itakuwa%20Ni%20Riba%3F