Mchuzi Wa Samaki Nguru Wa Kukaanga Kwa Sosi Ya Nazi
Vipimo Vya Samaki Wa Nguru
Samaki nguru - 5 vipande
Kitunguu saumu (thomu/garlic) na tangawizi iliyosagwa- 1 kijiko cha supu
Pilipili mbichi iliyosagwa - kijiko cha supu
Pilipili nyekundu ya unga - 1 kijiko cha chai
Bizari ya mchuzi -1 kijiko cha chai
Ndimu - 2 kamua maji
Chumvi - kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Samaki Nguru
Vipimo Vya Mchuzi Wa Nazi Wa Sosi Ya Nyanya
Vitunguu maji - 2 katakata vidogodogo
Nyanya - 3 saga au katakata ndogondogo
Tuwi zito la nazi - 2 vikombe viwili
Haldi (bizari ya manjano) - ¼ kijiko cha chai
Pilipili mbichi - 1 isage
Ndimu - kiasi
Chumvi - kiasi
Mafuta – vijiko 3 vya supu
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Mchuzi
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kuburudika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/108
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3047&title=Mchuzi%20Wa%20Samaki%20Nguru%20Wa%20Kukaanga%20Kwa%20Sosi%20Ya%20Nazi%20%20