Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Kutaja Jina La Allaah Chooni

Kutaja Jina La Allaah Chooni

Maswali: Twahara Wudhuu [1]

SWALI:

Je vibaya kutaja jina la M/Mungu chooni ? japo a'udhubiLLaahi mina shaytwani rajim.
Na je kuvaa kidani au pete yenye jina la M'Mungu chooni vibaya?

 

 


JIBU

Haifai kutaja jina la Allaah chooni. Ikibidi kama kuanza wudhuu basi sema moyoni. Vile vile haifai kuvaa kidani chenye jina la Allaah au aya ya Qur'aan na kwenda nayo chooni, Haipendezi kuvaa mavazi na vitu vyenye ayah na majina ya Allaah.    

 

 

 

Wa Allahu A'alam

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/365

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/138
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F365&title=Kutaja%20Jina%20La%20Allaah%20Chooni