Vikate Duara Vya Jibini
Vipimo
Unga wa ngano - 4 Magi (vikombe vikubwa vya chai)
Maziwa - 1 ½ - 2 Magi
Mafuta au siagi - ¼ Magi
Sukari - 1 Kijiko cha supu
Hamira - 1 Kijiko cha supu
Chumvi - ¼ Kijiko cha chai
Baking powder - 1 Kijiko cha chai
Jibini ya malai (cream cheese) - 1 Kikopo au pakiti
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3803&title=Vikate%20Duara%20Vya%20Jibini%20%20