Mkate Wa Sinia/Kumimina Aina Ya 3
Vipimo
Mchele - 2 vikombe vya chai
Maziwa - Kiasi
Sukari - 1 kikombe cha chai
Hamira - 1 kijiko cha chai
Ute wa mayai - 2 mayai
Tui la nazi - 1 na nusu kikombe cha chai
Hiliki - kiasi
Mafuta (ya kupakia treya) - kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4149&title=Mkate%20Wa%20Sinia%2FKumimina%20Aina%20Ya%203