Uyoga (Mushroom) Wa Sosi Na Jibini
Vipimo
Uyoga - 12 au zaidi
Siagi - 2 vijiko vya supu
Kitunguu kilokatwakatwa (chopped) - 1
Nyanya ilosagwa - 3 vijiko vya supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 1 kijiko cha chai
Pilipili manga ya unga - ½ kijiko cha chai
Oregano - 1 kijiko cha chai
Parsely kavu iliyosagwa - 1 kijiko cha chai
Nanaa kavu iliyosagwa - 1 kijiko cha chai
Mafuta - 2 vijiko vya supu
Chumvi - kiasi
Jibini (cheese) ya mazorella* - 250 gm
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo :
Ikiwa idadi ya uyoga ni kidogo, basi sosi itakayobakia unaweza kutumia katika Pizza au pasta.
* unaweza kutumia aina nyengine ya jibini
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/85
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4259&title=Uyoga%20%28Mushroom%29%20Wa%20Sosi%20Na%20Jibini%20%20