Vipapatio Vya Kuku Wa Kuchomwa (Grilled) Na Sosi Ya Nyanya
Vipimo
Vipapatio (Chicken wings) - 1 Kilo
Pilipili ya unga nyekundu - 1 kijiko cha supu
Tangawizi ilosagwa - 1 kijiko cha chai
Kitunguu saumu/thomu kilosagwa - 1 kijiko cha chai
Dania/coriander ya unga - 1 kijiko cha chai
Jira/cumin/bizari ya pilau ya unga - 1 kijiko cha chai
Garama masala (bizari mchanganyiko) - 1 kijiko cha chai
Nyanya ilokatwa ndogondogo (Chopped) - 1
Nyanya kopo - I kijiko cha supu
Siki (au ndimu) - 2 vijiko vya supu
Chumvi - kiasi
Mafuta - 3 vijiko vya supu
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo:
*Unaweza kuchoma vipapatio katika jiko la mkaa
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F5160&title=Vipapatio%20Vya%20Kuku%20Wa%20Kuchomwa%20%28Grilled%29%20%20Na%20Sosi%20%20Ya%20Nyanya%20