Vikate Vitamu Vya Vya Jibini, Ufuta Na Habbat Sawdaa
Vipimo
Unga wa ngano - 4 vikombe
Yai - 1
Maziwa - 2 Vikombe
Siagi - ¼ Kikombe
Sukari - 2 vijiko vya supu
*Hamira - 1 ½ kijiko cha chai
Chumvi - ¼ kijiko cha chai
Mjazo:
Jibini ya vipande - kiasi
Ufuta na *habbat sawdaa (habba soda/black seeds) - kiasi
Yai la kupakia au maziwa ya kopo
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika.
Kidokezo:
Habba sawdaa ukipenda tu si lazima, unaweza kutia ufuta pekee.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F5178&title=Vikate%20Vitamu%20Vya%20Vya%20Jibini%2C%20Ufuta%20Na%20Habbat%20Sawdaa%20