Mchuzi Wa Kuku Na Mchicha
Vipimo
Kuku - 1 au pound 4
Vitunguu maji - 5
Nyanya/tungule - 3
Nyanya kopo (tomatoe paste) - 4 vijiko vya supu
Mchicha - 2 misongo (bunch)
Tangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 1 kijiko cha supu
Pilipili mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha chai
Mafuta - ½ kikombe
Bizari ya mchuzi - 1 kijiko cha chai
Bizari ya Methi/uwatu - ½ kijiko cha chai
Chumvi - kiasi
Ndimu - 1 moja kamua
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo:
Ni vyema kumsafisha kuku kwa haldi/tumeric/bizari ya manjano au siki ili kukata harufu ya kidusi cha kuku.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/108
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F5182&title=Mchuzi%20Wa%20Kuku%20Na%20Mchicha