SWALI:
Asalaam alaykum. Mimi ninaswali, je! Naweza kumposa mwanamke aliyekuwa ndani ya eda, haku nikisubiri amalize nimuoe? Ahsante
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho
Shukrani
1. Eda kwa Aliyefiliwa: Haifai kwa mwanamme kumposa mwanamke katika eda
Katika ishara ya kuwa una hamu naye ni kusema: Mimi nataka kuoa au Nataraji wepesi wa kupata mke mwema.
2. Eda ya Talaka Rejea: Katika hali hii haifai kumposa mwanamke kwa wazi au hata kwa ishara. Hii ni kuwa bado yeye ni mke wa mtu na wanaweza kurudiana. Hakika kukaa eda kwake ni kutoa nafasi ya kusameheana na kuweza kurudiana na mumewe kabla ya eda kumalizika. Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema: “Na mtakapowapa wanawake talaka nao wakamaliza eda
3. Eda baada ya Talaka Tatu: haifai kumposa mwanamke huyo kwa kuafikiana kwa wanazuoni, lakini wakatofautiana katika kutoa ishara kwa
Na Allah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/57
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F712&title=Kumposa%20Mwanamke%20Katika%20Eda