Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn Al-Qayyim: Kuhusisha Siku Au Mahali Kwa ‘Ibaadah Bila Ya Dalili

Imaam Ibn Al-Qayyim: Kuhusisha Siku Au Mahali Kwa ‘Ibaadah Bila Ya Dalili

Kauli Za Salaf: ‘Ibaadah [1]

Kuhusisha Siku Au Mahali Kwa ‘Ibaadah  Bila Ya Dalili     

 

www.alhidaaya.com [2]

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

 

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Haikuamrishwa kuhusisha mahali palipoanza kuteremshwa Wahyi wala wakati kwa ‘ibaadah. Anayehusisha mahali au wakati kwa ‘ibaadah ni itikadi yake mwenyewe, na hivyo ni sawa na mfano Ahul-Kitaab ambao waliofanya wakati na matukio ya Al-Masiyh (Nabiy Iysaa) kuwa ni misimu ya ‘ibaadah kama siku ya kuzaliwa na siku ya kubatizwa na kadhalika.

 

 

[Zaad Al-Ma’aad fiy Had-yi Khayril-‘Ibaad (1/56-58)]

 

 

 

 

 

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7611

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/225
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7611&title=Imaam%20Ibn%20Al-Qayyim%3A%20Kuhusisha%20Siku%20Au%20Mahali%20Kwa%20%E2%80%98Ibaadah%20Bila%20Ya%20Dalili%20%20%20%20%20