Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 'Abdullaah bin Mas'uwd (Radhwiya Allaahu 'anhu) Watatokea Watu Watakaoacha Sunnah Mkiwatenga Watakutuhumuni Mno

'Abdullaah bin Mas'uwd (Radhwiya Allaahu 'anhu) Watatokea Watu Watakaoacha Sunnah Mkiwatenga Watakutuhumuni Mno

Kauli Za Salaf [1]

Watatokea Watu Watakaoacha Sunnah Mkiwatenga Watakutuhumuni Mno

 

‘Abdullaah bin Mas’uwd  (Radhwiya Allaahu ‘anhu)

 

www.alhidaaya.com [2]  

 

 

“Watakuja watu watakaoacha Sunnah mfano huu (akikusudia mfano wa vidole).

Mtakapowatenga watakuja na tuhuma kubwa mno. Na hakika Ahlul-Kitaab hawakuwa isipokuwa mwanzo wakiacha Sunnah, na mwishowe ikafika wao kukaribia kuacha Swalaah. Na lau si kustahi kwao, wangeliacha Swalaah.

 

 

Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/91)

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7617#comment-0

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/201
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7617&title=%27Abdullaah%20bin%20Mas%27uwd%20%28Radhwiya%20Allaahu%20%27anhu%29%20Watatokea%20Watu%20Watakaoacha%20Sunnah%20Mkiwatenga%20Watakutuhumuni%20Mno