Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Maalik Bin Diynaar: Watu Wataondoka Duniani Bila Ya Kuonja Utamu Wake Mzuri Kabisa

Maalik Bin Diynaar: Watu Wataondoka Duniani Bila Ya Kuonja Utamu Wake Mzuri Kabisa

Kauli Za Salaf [1]

Watu Wataondoka Duniani Bila Ya Kuonja Utamu Wake Mzuri Kabisa

 

Maalik Bin Diynaar (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [2] 

 

 

Salam Al-Khawwaas amehadithia: Maalik bin Diynaar amesema:

“Watu Wataondoka duniani bila ya kuonja utamu wake mzuri kabisa.”  Akaulizwa: “Je, ni upi huo utamu?” Akajibu: “Ma’rifah ya Allaah (Elimu ya Majina na Swifaat Zake pamoja na yanayowaathiri  na kuwahusu viumbe Vyake).“

 

 

[Siyar A'alaam An-Nubalaa - Adh-Dhahabiy (5/363)]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7689#comment-0

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/201
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7689&title=Maalik%20Bin%20Diynaar%3A%20Watu%20Wataondoka%20Duniani%20Bila%20Ya%20Kuonja%20Utamu%20Wake%20Mzuri%20Kabisa