SWALI:
Nilikua nikitamani mtoto nikaenda masjid kuswali kawaida nikamuona mwanamke aitwa Sultani akaniambia nitakuombea Allah upate nikamwambia INSHALLAH nikipata nitamwita jina
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola i wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho
Shukran kwa swali lako kuhusu mas-ala uliyoyataja. Hakika ni kuwa
KWA JINA LA ALLAH MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
1. HAKIKA wamefanikiwa Waumini
2. Ambao ni wanyenyekevu katika Sala zao
3. Na ambao hujiepusha na mambo ya upuuzi
4. Na ambao wanatoa Zaka
5.Na ambao wanazilinda tupu zao,
6. Isipokuwa kwa wake zao au kwa iliyowamiliki mikono
7. Lakini anayetaka kinyume cha haya, basi hao ndio warukao mipaka.
8. Na ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao
9. Na ambao Sala zao wanazihifadhi
10. Hao ndio warithi
11. Ambao watairithi Pepo ya Firdaws, wadumu humo)) [Al-Mu'minuun:1-11]
Muislamu anatakiwa anapokuwa hana hakika na jambo kulitimiza basi ni afadhali
Na kuanzia mwanzo ungekuwa ni mwenye kumuambia nitamuita jina lako ikiwezekana kwani ulifahamu kuwa hujamshauri mke wako. Hivyo, jambo ambalo linatakiwa kwako ni kumtafuta huyo dada na kumwambia ukweli pamoja na kumtaka radhi kwa
Na Allah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/67
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F781&title=Ni%20Nadhiri%20Au%20Ahadi%3F