Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn Baaz: Nasiha Kwa Waislamu Kupokea Ramadhwaan Kwa Tawbah Ya Kweli Na Kujifunza ‘Ilmu Ya Dini Yao

Imaam Ibn Baaz: Nasiha Kwa Waislamu Kupokea Ramadhwaan Kwa Tawbah Ya Kweli Na Kujifunza ‘Ilmu Ya Dini Yao

Kauli Za Salaf 'Ibaadah za Misimu [1]

 

Nasiha Kwa Waislamu Kupokea Ramadhwaan

 

Kwa Tawbah Ya Kweli Na Kujifunza ‘Ilmu Ya Dini Yao

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

 

Nasiha yangu kwa Waislamu wote ni kwamba wamche Allaah (Jalla wa’Alaa), na waupokee mwezi wao kwa tawbah ya kweli kutokana na madhambi yote, na watafute ‘ilmu kujifunza yanayohusiana na Dini yao na wajifunze hukmu za Swawm zao na hukmu za Qiyaam chao (Kisimamo cha usiku kuswali)  kutokana na kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam):

“Allaah Akimtakia khayr mja, humpa ufahamu wa Dini.“ [Al-Bukhaariy]

 

 

[Fataawa Shaykh Ibn Baaz]

 

 

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8364

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/271
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8364&title=Imaam%20Ibn%20Baaz%3A%20Nasiha%20Kwa%20Waislamu%20Kupokea%20Ramadhwaan%20Kwa%20Tawbah%20Ya%20Kweli%20Na%20Kujifunza%20%E2%80%98Ilmu%20Ya%20Dini%20Yao