Donuts Za Kumwagiwa Chokoleti Juu Na Icing Sugar
Vipimo
Unga vikombe 3
Hamira kijiko 1 ½ cha kulia
Maziwa vijiko 2 vya kulia
Siagi 2 vijiko 2 vya kulia
Sukari vijiko 3 vya kulia
Chumvi ½ kijiko cha chai
Kiasi 1 cha kiasi chemsha sana uponde kiwe laini.
Maji ya vuguvugu (warm)
Mafuta ya kukaangia
Icing sugar na syrup ya chokoleti ya tayari kwa ajili ya kunyunyuzia
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Kidokezo: Viduara ulivyokatia kifuniko cha chupa unaweza kuunda duara nyengine au vikaange kama vilivyo.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/185
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8551&title=Donuts%20Za%20Kumwagiwa%20Chokoleti%20Juu%20Na%20Icing%20Sugar