Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn Rajab: Ramadhwaan: Kuomba Al-‘Afwu Kwa Allaah Laylatul-Qadr Na Kusameheana

Imaam Ibn Rajab: Ramadhwaan: Kuomba Al-‘Afwu Kwa Allaah Laylatul-Qadr Na Kusameheana

Kauli Za Salaf 'Ibaadah za Misimu [1]

 

Kuomba Al-‘Afwu Kwa Allaah Laylatul-Qadr  Na Kusameheana

 

 Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

 

 

Al-‘Afuww (Mwingi wa Kusamehe) ni katika Majina ya Allaah (Ta’aalaa) Naye Hayachukulii makosa ya waja Wake.  Yeye Ndiye Anayeyafuta makosa yao. Anapenda Kusamehe na kwa hiyo Anapenda kuwasamehe waja Wake. 

 

Basi hali kadhaalika Hupenda kwamba waja Wake wasameheane. Basi pindi wanaposameheana, Yeye Hupeleka msamaha Wake juu yao. Na Anapenda msamaha Wake juu yao zaidi kuliko adhabu Yake.

 

 

[Latwaaif Wal-Ma’aarif, uk. 279]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8557

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/271
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8557&title=Imaam%20Ibn%20Rajab%3A%20Ramadhwaan%3A%20Kuomba%20Al-%E2%80%98Afwu%20Kwa%20Allaah%20Laylatul-Qadr%20Na%20Kusameheana