Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Wuhayb Ibn Al-Ward: Kilichoshadidi Zaidi Kulainisha Nyoyo Na Kuondosha Huzuni Ni Kusoma Qur-aan Kwa Kuzingatia

Imaam Wuhayb Ibn Al-Ward: Kilichoshadidi Zaidi Kulainisha Nyoyo Na Kuondosha Huzuni Ni Kusoma Qur-aan Kwa Kuzingatia

Kauli Za Salaf Qur-aan [1]

Kilichoshadidi Zaidi Kulainisha Nyoyo Na Kuondosha Huzuni Ni Kusoma Qur-aan Kwa Kuzingatia

 

Imaam Wuhayb Ibn Al-Ward (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

Amesema Imaam Wuhayb Ibn Al-Ward (Rahimahu Allaah):

 

“Tumetazama hizi Ahaadiyth na Mawaidha lakini hatukuona kilicho shadidi zaidi katika kinacholainisha nyoyo au kuondosha huzuni kama kusoma Qur-aan kwa anayezingatia.”

 

 

 [Hilyat Al-Awliyaa (8/143)]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8922

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/269
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8922&title=Imaam%20Wuhayb%20Ibn%20Al-Ward%3A%20Kilichoshadidi%20Zaidi%20Kulainisha%20Nyoyo%20Na%20Kuondosha%20Huzuni%20Ni%20Kusoma%20Qur-aan%20Kwa%20Kuzingatia