Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Al-Lajnah Ad-Daaimah: Tahadharisho La Kitabu Cha Du’aa Al-Mustajaab Kimejaa Hadiyth Dhaifu Na Za Kutungwa

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Tahadharisho La Kitabu Cha Du’aa Al-Mustajaab Kimejaa Hadiyth Dhaifu Na Za Kutungwa

Al-Lajnah Ad-Daaimah [1]

 

Tahadharisho La Kitabu Cha Du’aa Al-Mustajaab Kimejaa Hadiyth Dhaifu Na Za Kutungwa

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

Baada ya swali kuhusu kitabu cha Du’aa Al-Mustajaab, Al-Lajnah Ad-Daaimah Lil-Buhuwth Al-'Ilmiyyah Wal-Iftaa (Kamati ya Kudumu ya Utoaji Fatwa na Tafiti za Kielimu) wamejibu:

 

"Kitabu cha Ad-Du'aa Al-Mustajaab si cha kutegemewa kwa sababu kimekusanya idadi kubwa ya Ahaadiyth dhaifu na za kutungwa. Kwa hiyo Ahul-‘Ilm wamekitahadharisha.”

 

[Fataawa Al-Lajnah Ad-Daaimah, (2/449)]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8987

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/203
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8987&title=Al-Lajnah%20Ad-Daaimah%3A%20Tahadharisho%20La%20Kitabu%20Cha%20Du%E2%80%99aa%20Al-Mustajaab%20Kimejaa%20Hadiyth%20Dhaifu%20Na%20Za%20Kutungwa