Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kusoma Al-Faatihah Katika ‘Aqdi Za Ndoa Na Katika Misiba Ni Bid’ah

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kusoma Al-Faatihah Katika ‘Aqdi Za Ndoa Na Katika Misiba Ni Bid’ah

Al-Lajnah Ad-Daaimah [1]

 

Kusoma Al-Faatihah Katika ‘Aqdi Za Ndoa Na Katika Misiba Ni Bid’ah

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

Haikuthibiti kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wala kutoka kwa Maswahaba wake kwamba walikuwa wakisoma Al-Faatihah katika ‘Aqdi za Ndoa au katika misiba au katika mikataba ya biashara.

Na ingelikuwa hivyo (kusoma Al-Faatihah) ni khayr, basi wangelitutangulia (kufanya hivyo).

 

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (19/46)]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9525

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/203
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9525&title=Al-Lajnah%20Ad-Daaimah%3A%20Kusoma%20Al-Faatihah%20Katika%20%E2%80%98Aqdi%20Za%20Ndoa%20Na%20Katika%20Misiba%20Ni%20Bid%E2%80%99ah