Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthyamiyn: Kutangamana Walio Dhaifu Masikini Na Mayatima Kunaulainisha Moyo

Imaam Ibn 'Uthyamiyn: Kutangamana Walio Dhaifu Masikini Na Mayatima Kunaulainisha Moyo

Kauli Za Salaf: Jamii [1]

 

 Kutangamana Na Walio Dhaifu, Masikini Na Mayatima,

Kunaulainisha Moyo Na Kuupa Rahmah

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Tambua kwamba kutangamana na walio dhaifu na mayatima na (Watoto) wadogo, kunaufanya moyo kuwa na rahmah, na kuwa laini na huruma na kulemea kwa Allaah ('Azza wa Jalla). Lakini hadiriki hayo isipokuwa yule anayejaribu (kufanya) hivyo.”

 

 

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (3/89)]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9528

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/230
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9528&title=Imaam%20Ibn%20%27Uthyamiyn%3A%20Kutangamana%20Walio%20Dhaifu%20Masikini%20Na%20Mayatima%20Kunaulainisha%20Moyo%20%20